Saturday, 18 January 2014

DNA tests confirm Bitama’s father


Bitama worked as a radio presenter but made his name as an actor and comedian. He died last weekend but he could not be buried after two men claimed him as their son.

KAMPALA- 
 The DNA tests carried out on the body of deceased comedian Paddy Bitama and his relatives have revealed that his father is Peter Njegula ending the seven-day long dispute.

Kampala Metropolitan Police spokesman, Mr Ibin Ssenkumbi, said the DNA results on Bitama’s body and Mr Njegula were positive while the tests on Richard Ssali, Bitama’s maternal brother, were negative.
“We gave the results to both parties and they have agreed with the outcome. In fact, we left them drawing the plan of the burial together,” Mr Ssenkumbi said yesterday.
Bitama worked as a radio presenter but made his name as an actor and comedian. He died last weekend but he could not be buried after two men claimed him as their son. This prompted a DNA test, which has since proved inconclusive.
In 2011 Bitama attempted to stand for presidency but failed the nomination process. He was a founding member of the comedy outfit, Amarula Family. A member of the group, Nicholas Mpeirwe known by his stage name Messe told this newspaper they were expecting the DNA results any time.
Chanzo Daily Monitor-Uganda

Korea Telecom hosts Rwandan students in South Korea


The beginning and end of year is usually a  time for families, organisations, and employees from different companies to come together and share the joy for their achievements over the yester year and make plans for the New Year.

It is in this regard that Korea Telecom (KT), as a key player in broadband connectivity ventures in Rwanda, organised a special end-of-the-year party for Rwandan students currently in South Korea to wish them a happy 2014.

It was also an opportunity for Rwandan students to chat with the KT’s Global Enterprise Group president Hongjin Kim, who said Rwanda and South Korea have a lot in common. One of the similarities he highlighted was a post-conflict quick recovery and the resilience of citizens of the two friendly countries.

He also pointed out that, like Korea,  Rwanda is also investing heavily in its citizens, a major and reliable resource.

“People have more value compared to natural resources and Rwanda has invested in developing its human resource,” Hongjin told the students. 

He hailed the post-conflict result-oriented leadership in Rwanda. Hongjin promised that KT will be giving interested students a chance to do internship at their company as a way of enhancing their skills.

He reminded the students to be more focused and play a significant role in the development of Rwanda.

The representative of the Rwandan students, James Ntaganda, thanked KT for organising the ceremony and affirmed their commitment to achieving their academic goals.

“Coming to Korea is a great opportunity for Rwandan students. We shall not disappoint the people and institutions that trusted us,” he said.
(The Times Rwanda)

Anusurika kuchinjwa katika ugomvi wa wakulima Wilaya ya Kiteto



Kiteto:Bahati ni kweli ana bahati kama jina lake lilivyo Bahati. Katika mapigano, yaliyotokea hivi Karibuni, mtoto, Bahati Juma alikuwa ni mmoja wa watu waliojikuta wako katikati ya mapigano hayo.
Mtoto huyu anasema alikamatwa na kundi la wafugaji wa Kimasai, akiwa ndani ya nyumba yao iliyochomwa moto. Katika tukio hilo, Bahati alinusurika kufa ingawa tayari sime ilikuwa imeanza kukata shingo yake.
Hivi sasa Bahati amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara, akiuguza jeraha la kukatwa na sime na ameshonwa nyuzi nane huku akiwa na majeraha ya fimbo mgongoni na mikononi.
Ndugu zake watatu ambao ni wakulima wote kutoka mkoani Dodoma, wameuawa ambao ni Juma Mlangwa (47) na Yohana Hivo (33) waliuawa papohapo  na Mussa Juma alifariki akiwa hospitali.
Katika mapigano hayo yaliyotokea Desemba 21 Kijiji cha Olpopong, wakulima wengine wanane walijeruhiwa,   mmoja alikuwa mahututi. Mussa Juma ambaye alichomwa mkuki wa mbavu, alihamishiwa hospitali ya Mkoa ya Dodoma, alifariki baadaye.
Wengine waliolazwa  hospitali ya wilaya ya Kiteto ni Emanuel Mathias (26), Hoti Damas (38), Mwajuma Hamis (20), Habiba Ally(16 ) na Mwajuma Martin(33).
Daktari azungumza
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Kiteto, Thomas Ndalio anasema, hali za majeruhi hao saba zinaendelea vizuri.
“Mussa ndio hali yake ilikuwa mbaya sana na ndio sababu alihamishiwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu zaidi, kwa bahati mbaya  alifariki,”anasema Dk Ndalio.
Bahati asimulia alivyonusurika kifo
Anasema, anakumbuka Desemba 21 alikuwa nyumbani na ndugu zake, wakiwa wamepumzika baada ya kutoka shamba kulima.
Siku hiyo anakumbuka kulikuwa kumezuka mgogoro katika eneo la malisho kati ya wakulima na wafugaji wa jamii ya Kimasai. Wafugaji hao walikuwa wameingiza katika mashamba yao, mifugo na walifanikiwa kuwafukuza.
(CHANZO MWANANCHI)

4 wafariki Misri katiba mpya ikisakwa


Polisi waliwakamata baadhi ya waandamanaji mjini Cairo
Waziri wa afya nchini Misri amesema kuwa idadi ya watu waliofariki katika ghasia za kisiasa wakati kura ya maamuzi kuhusu katiba mpya ilipokuwa inaendelea imefika watu 4.
Watu wengine 15 walijeruhiwa katika ghasia hizo za Ijumaa.
Wamisri wanasubiri matokeo ya kura ya maoni kuhusu katiba mpya ambayo yatarajiwa kutangazwa baadaye Jumamosi.
Ghasis hizo zilianza baada ya wafuasi wa aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi kuandamana mjini Cairo, na katika mikoa mingine wakilaani rasimu ya katiba inayopigiwa kura.
Polisi walilazimika kufyatua gesi ya kutoa machozi hewani ili kuwatawanya waandamanaji hao ambao hawakuwa na kibali cha kuwaruhusu kuandamana.
Tangu mapinduzi ya kijeshi yaliyomwondoa mamlakani Morsi mwezi Julai, wanaharakati wa vuguvugu la Muslim Brotherhood, wamekuwa wakizusha zogo, kuipinga serikali ya mpito wakisema kuwa sio halali.
Taarifa za awali zilisema kuwa 90% ya watu walishiriki kura hiyo ya maamuzi
(Chanzo BBC).

Bomu kwenye mkahawa wa Kabul lauwa wengi

 
Mkahawa ulioshambuliwa Kabul

Jumuia ya kimataifa imelaani vikali shambulio la kujitolea mhanga kwenye mkahawa wa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, ambao liliuwa watu kama 21 - wengi wao wageni.
Waziri wa mambo ya ndani wa Afghanistan, Mohammad Omar Daudzai, amesema maafisa kadha wa serikali ya mitaa wamesimamishwa kazi na uchunguzi unafanywa.
Kati ya waliokufa ni afisa mkuu wa Shirika la Fedha la Dunia, IMF, nchini Afghanistan, Wadel Abdallah, pamoja na wafanyakazi wane wa Umoja wa Mataifa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani shambulio hilo kuwa kitendo cha kutisha.
Mkahawa huo uko katika mtaa wa Kabul wa watu wanaojiweza na ukipendwa na wageni na maafisa wa serikali.
Taliban wamesema wamehusika na shambulio hilo.
Wageni 13 kutoka Marekani, Canada, Urusi, Libnan na Uingereza wameuwawa - na wengine ni raia wa Afghanistan.
Taarifa zinasema kuwa mshambuliaji alijiripua kwenye mlango wa mkahawa.
Baada ya mripuko watu wawili waliwafyatulia risasi wateja
(chanzo BBC)